L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,513 Jan 25, 2023 #1 Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
MwakiIV Member Joined Aug 31, 2018 Posts 79 Reaction score 138 Jan 25, 2023 #2 Ni tatizo ambalo linahusiana na moyo lakini fanya uone daktari.