Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

Filip

Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
66
Reaction score
178
Ndugu zangu,
Naamini mnaendelea vema.
SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.

Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.

ASANTENI
 
Back
Top Bottom