Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

Ukioa mwiraqw jiandae kutembelewa na "mabinamu" wa mke wako ambao pia watakuwa wanamgongea hapohapo kwako. Wanawake wa kimbulu huwa na mabinamu wengi ambao pia ndo michepuko yao. Kimsingi ukioa mbulu KUGONGEWA HAIEPUKIKI. Faida utakayopata ni kupata watoto wenye sura nzuri.

Warangi wao hawana mabinamu sana ila kama members wenngine walivyotangulia kusema ni kuwa sio wachoyo. KUGONGEWA LAZIMA. Pia kama alivyosema ndugu TZ-1 ni kweli wanawake wa kirangi wanapenda kutawala na hasira za karibu. Mimi nilikuwa naye mmoja Baba Mranngi mama Mbulu. Hatukuweza kufika popote.
 
Nimesoma chuo Arusha, nina uzoefu na pisi za kiiraqw

Advantages.
-sio wachoyo wakiwa na hela
-wavumilivu nyakati za shida
-wanapenda sana kuwa na familia, yaani kuolewa na kuzaa

Disadvantages
-poor emotional intelligence, wanapokua na hasira.
-kutokana na uzuri wao huwa wanatongozwa sana kwaiyo na possibility ya kunasa kwenye mitego ya wanaume inakua kubwa zaidi.
-usafi wa ndani ni changamoto kidogo. Kati ya 10 wawili au watatu lazima watakua wanatema kisamaki kule chini
ASANTE SANA 🙏

Vipi mkuu unaweza kuwasemea chochote WARANGI? KARIBU KWA EXPERIENCE YAKO.

ASANTE SANA 🙏
 
Ukioa mwiraqw jiandae kutembelewa na "mabinamu" wa mke wako ambao pia watakuwa wanamgongea hapohapo kwako. Wanawake wa kimbulu huwa na mabinamu wengi ambao pia ndo michepuko yao. Kimsingi ukioa mbulu KUGONGEWA HAIEPUKIKI. Faida utakayopata ni kupata watoto wenye sura nzuri.

Warangi wao hawana mabinamu sana ila kama members wenngine walivyotangulia kusema ni kuwa sio wachoyo. KUGONGEWA LAZIMA. Pia kama alivyosema ndugu TZ-1 ni kweli wanawake wa kirangi wanapenda kutawala na hasira za karibu. Mimi nilikuwa naye mmoja Baba Mranngi mama Mbulu. Hatukuweza kufika popote.
A very good narrative experience, ASANTE SANA 🙏 🙏 KAKA MKUBWA
 
Khee! Hivi huwa mnapendea nini miguu inasaidia nini hasa😃 mi nikajua kikubwa kusimama jmn, we kabila gani kwani?
Kwa mwanamke mguu ni zaidi ya kusimamia na kutembelea.
Mimi wa kanda ya ziwa, ukisikia mguu wa "biya" namaanisha huo.
Wewe huna mguu wa biya?
 
Ndugu zangu,
Naamini mnaendelea vema.
SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.

Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.

ASANTENI
Wana K ndogo tamuu
 
Back
Top Bottom