Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

Nina marafiki zangu wairaq ni warembo hao weupee, hata tukitembea barabarani wanasimamishwa waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vipi tabia zao. Ni kweli warahisi ?.
Je Wana wanaume weng?.

Sema ukweli shem, uwana hapa uweke pemben😁😁😁
 
Wanasemaga adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie sitaki kuitwa mchawi mchana huuπŸ˜‚

Unajidai ww ni mwana sana sio 😁😁😁

Wao wangepata nafas ya kukusema wangesema tu.

Wako wap hao rafik zako.

Shemej hivi unajua inatakiwa marafik zako wawe marafik zetu pia. 😁😁😁
 
Unajidai ww ni mwana sana sio 😁😁😁

Wao wangepata nafas ya kukusema wangesema tu.

Wako wap hao rafik zako.

Shemej hivi unajua inatakiwa marafik zako wawe marafik zetu pia. 😁😁😁
Kheee🀭

Unafique muhimu shemelaa

Mi ninaowajua mmoja anaweka wazi kabisa hataki mtu asiyempa kuanzia laki5, na hana mmoja wala wawili, ni bmw,discovery, range zinapishana sana ofisiniπŸ˜… jamani simuonei wivu wajaπŸ₯±

mwingine ni msiri tulikutana chuo alidai pia ni bikra, nikawa nasikia sikia tu story ila ni mtu wa chinichini tuu hanaga makuu😬
 

Huyo msiri ndio anafaa kuwa rafik angu sasa. 😁😁😁😁

Msalimie sana. Mwambie shemela wako anamsalimia sana. Na anataman akuone.
Mwambie nimesikia sifa zake na nimezipenda. 😁😁😁
 
Nimesoma chuo Arusha, nina uzoefu na pisi za kiiraqw

Advantages.
-sio wachoyo wakiwa na hela
-wavumilivu nyakati za shida
-wanapenda sana kuwa na familia, yaani kuolewa na kuzaa

Disadvantages
-poor emotional intelligence, wanapokua na hasira.
-kutokana na uzuri wao huwa wanatongozwa sana kwaiyo na possibility ya kunasa kwenye mitego ya wanaume inakua kubwa zaidi.
-usafi wa ndani ni changamoto kidogo. Kati ya 10 wawili au watatu lazima watakua wanatema kisamaki kule chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…