Nilikulaga mmoja, kila nikitafuta Antena siioni dah! Sema wazuri sana Warangi.ukioa hao ujue umeolea mtaa utagongewa hadi ukome sio wachoyo maji mara moja hawana noma ni wakarimu sana
kikubwa hawana antena.
Warangi sina uzoefu nao. Nawajua vizuri wairaqw. Arusha niliposoma wapo wengi pia hata mke wangu ni muiraqw ila yeye nilikutana nae hapa hapa dar baadae sana baada ya kumaliza chuo, kwaiyo nina dondoo za maisha ya marafiki zake wa zamani ambao nilimpiga marufuku kuwa na ukaribu naoASANTE SANA 🙏
Vipi mkuu unaweza kuwasemea chochote WARANGI? KARIBU KWA EXPERIENCE YAKO.
ASANTE SANA 🙏
Wasukuma bhana, nani kakudanganya weupe ndio urembo ?Nina marafiki zangu wairaq ni warembo hao weupee, hata tukitembea barabarani wanasimamishwa wao😂😂😂
Huku kwetu wanaume wanapenda sana wanawake weupe hata mahari zao ni kubwa sana kwahivyo tukajua ndio uremboo🤦🏽♀️Wasukuma bhana, nani kakudanganya weupe ndio urembo ?
We mrangi ropoka dada zako waoleweMungu nifundishe kunyamaza
Oya haji manara niajeWe mrangi ropoka dada zako waolewe
PimbiOya haji manara niaje
Kenge mavumbiPimbi
😁🙆♂️♥️💘Sifa Yao ni wazuri sana Kwa sura na matendo yao.akiombwa hata na rafiki yako anatoa.hawana noma kabisa hawa warembo
Wana inferioriti komplexi, mbili ni wenye wivu na hasira.Ndugu zangu,
Naamini mnaendelea vema.
SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.
Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.
ASANTENI
Hawajui kukataa nini? 😹😹Sio wachoyo,
halafu hawajui kukataa