Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?
Washamba fulani wanaojitapa kumfahamu Mungu sana
 
"Wana maneno yaa kejel.. wakikusema utadhan umejinyeaaa.. "

Moja ya mistar ya songi fulani
 
Nikuwa nakuheshim kitokana na umli wako kumbe m2 wa hovyo sana
Kaka kama unabisha kwamba sio washamba niambie hapa ukitoa wasukuma wapi ni washamba wanaofuata bongo?
 
Wanawake wa kinyakyusa ni maharage mabichi a.k.a mama huruma wanajua sana kugawa utamu yaani ukioa umeolea kijiji
 
Kaka kama unabisha kwamba sio washamba niambie hapa ukitoa wasukuma wapi ni washamba wanaofuata bongo?
Nini maana ya ushamba we njanga? Umetumia vigezo gani kusema Wasukuma na Wanyakyusa ndio washamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…