Yaani wewe!! wa ajabu sana .. umeona umejibu sawa???Ushuru/tozo = Levy
Kodi = Tax
Forodha = Custom
Ahsante sana! ila forodha hujaigusia.Kodi huwa inalipwa ndani ya muda maalumu mfano mwezi au mwaka ambayo hulipwa kwa kukokotoa asilimia Fulani ya faida inayotarajiwa kupatikana ndani ya kipindi au muda niliotaja hapo juu lakini ushuru in malipo ya kila Sikh ambayo mfanyabiashara anatozwa kugharamia Huduma mfano kila gari ikiingia stand hutuzwa sh 500 kama ushuru, au mnadani, kila anaeingia kuuza kitu chochote lazima atoe ushuru kwa ajili ya usafi.
Niko SokoMatola wapi wewe?Nikiwa zangu nimepumzika muda huu na uchovu wa pilikapilika za hapa na pale ili nipate tonge kusogeza siku,basi nimewasha tv nakutana na mtangazaji ana wahoji wafanyabiashara nini maana ya kodi na ushuru ni nini mpaka muda huu jibu halijapatikana nimeona nileta hapa jamvini ili nami nipate kuelewa kodi ni nini na ushuru ni nini?