Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA.
Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au mgombea aliyetoka adharani akasema ameonewa na kukata rufaa.
Pamoja na matusi na vitimbi mitandaoni hakuna mjumbe wa timu hiyo aliyeweza kutoka adharani nakuonyesha viashiria vya kusimamia na upande fulani.
Lakini pia naomba list hii kuunga mkono maneno ya Lisu alipomshukuru John Mnyika kwa kazi kubwa aliyofanya kwenye chama.
Tukijenga taasisi zenye watu waadilifu na wanaosimamia uwazi kama Mnyika na timu yake hata wananchi wataacha uongo, ulafi na udanganyifu. Taifa litakuwa na watu wenye maadili na wanaochukia kona kona.
Tofauti na championj Mnyika tupate wajumbe wengine waliopika hiki chakula.
Huu uchaguzi umekuwa mtamu kuliko hata uchaguzi wa TLS uliompa ofisi Mwambukusi.