NoKatika hao waliokutongoza kuna mmoja au wawili ambao wamekugusa kwa namna moja au nyingine na unafikiria kuwavulia picchu? ID yako ya zamani ni ipi Latoya?
PoaBasi sahau kuhusu interview
Hahaha tobahKwa kuwa kuna thread umesema unatembea na Mume wa Mtu, Je unajisikiaje ukiwa mwanamke uliyezalishwa na kuachwa na mwanaume kuwa kimada wakati una sifa za kumiliki mwanaume wako ...? Au na wewe unaogopa Kuibiwa kama unavyowaibia wanawake wenzio?
Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.Nimeshaombwa na wengi tu humu tena hadharani lakini sikuona umuhimu wa kufanya interview hiyo. Hivi weye ulishawahi kufanyiwa interview humu? Kama hujafanyiwa je uko tayari kuifanya?
Thank you dearBe blessed kwa sana
Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.
Lol mbona mnanirost hivo?Je kuna tofauti Gani unayoipata kutembea au Kufanywa na Mume wa Mtu ambaye huna uhuru naye na kuchagua mmoja kati ya hao wanaokutongoza na ukaamua kuishi naye ili awe mnamalizana kwa uhuru na bila woga kuliko huyo unayemuiba amabye unajua kabisa kuwa ni Mume wa Mtu.. Je baba wa huyo kijana uliyezaa naye yuko wapi nini ilikuwa sababu ya kukubali kuishi bila baba yake kuwa karibu na mtoto wake.. Au
Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.
Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.
Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.[/QUO
Hongera sana kwa kupatasita marafiki wazuri humu, nakuombea mungu akuepushe na vimeo. Swali nimejibu nipo tayari kwa interview ila majibu yatakuwa ya uongo.Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.
Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.
Hongera sana kwa kupatasita marafiki wazuri humu, nakuombea mungu akuepushe na vimeo. Swali nimejibu nipo tayari kwa interview ila majibu yatakuwa ya uongo.
HahahaKama huna chura hakuna kufanyiwa interview!!