Naomba kufanyiwa interview ya fungua mwaka

Katika hao waliokutongoza kuna mmoja au wawili ambao wamekugusa kwa namna moja au nyingine na unafikiria kuwavulia picchu? ID yako ya zamani ni ipi Latoya?
No
sina id nyingine ni hii tu since 2013,was just passive for some reasons u know
 
Je kuna tofauti Gani unayoipata kutembea au Kufanywa na Mume wa Mtu ambaye huna uhuru naye na kuchagua mmoja kati ya hao wanaokutongoza na ukaamua kuishi naye ili awe mnamalizana kwa uhuru na bila woga kuliko huyo unayemuiba amabye unajua kabisa kuwa ni Mume wa Mtu.. Je baba wa huyo kijana uliyezaa naye yuko wapi nini ilikuwa sababu ya kukubali kuishi bila baba yake kuwa karibu na mtoto wake.. Au
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa kuwa kuna thread umesema unatembea na Mume wa Mtu, Je unajisikiaje ukiwa mwanamke uliyezalishwa na kuachwa na mwanaume kuwa kimada wakati una sifa za kumiliki mwanaume wako ...? Au na wewe unaogopa Kuibiwa kama unavyowaibia wanawake wenzio?
Hahaha tobah

Baba wa mwanangu hakuniacha mie ndiye niliyemwacha kwaajil alinicheat

Kuhusu mie kuwa kimada ;it's about 7 years niko na huyu mume wa mtu ,nilianza naye even before my son's father
So u go figure lol
 
Nimeshaombwa na wengi tu humu tena hadharani lakini sikuona umuhimu wa kufanya interview hiyo. Hivi weye ulishawahi kufanyiwa interview humu? Kama hujafanyiwa je uko tayari kuifanya?
Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.

Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.

Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.
 
Je kuna tofauti Gani unayoipata kutembea au Kufanywa na Mume wa Mtu ambaye huna uhuru naye na kuchagua mmoja kati ya hao wanaokutongoza na ukaamua kuishi naye ili awe mnamalizana kwa uhuru na bila woga kuliko huyo unayemuiba amabye unajua kabisa kuwa ni Mume wa Mtu.. Je baba wa huyo kijana uliyezaa naye yuko wapi nini ilikuwa sababu ya kukubali kuishi bila baba yake kuwa karibu na mtoto wake.. Au
Lol mbona mnanirost hivo?
hahahah msifanye nikimbie jukwaa buleee

Kutoka na someone's hubby as you say sion kama ni hoja kwani tumejipangia mipaka,ratiba and all that
that's y hadi leo niko naye
kanifaa mengi nami nimemuassist nilipoweza
so as long as we know what we doing there is no problem
 
Hmmmm! Haya bhana. Unaogopa watu kukufuata huko Mpwapwa eh!?😡😡

Labda wangekuomba private eeeh. Lol. Mimi sijawahi kufanyiwa, nipo tayari ila kwa majibu ya uongo.
 
Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.

Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.[/QUO
Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.

Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.
Hongera sana kwa kupatasita marafiki wazuri humu, nakuombea mungu akuepushe na vimeo. Swali nimejibu nipo tayari kwa interview ila majibu yatakuwa ya uongo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani sana aisee inatisha kufunguka kwa mtu halafu ukakuta ni kimeo ukabaki unajijutia tu. Ila nikikumbuka zoezi la kufunguka kwao na wao kufunguka kwangu hadi hii leo nacheka sana aisee. Huwa tunakumbushana na kucheka sana. Miaka ile kulikuwa hakuna watu wasiojulikana ingekuwa kama ni siku hizi zama za watu wasiojulikana sidhani kama wao wangefunguka nami ningefunguka.

Hongera sana kwa kupatasita marafiki wazuri humu, nakuombea mungu akuepushe na vimeo. Swali nimejibu nipo tayari kwa interview ila majibu yatakuwa ya uongo.
 
Halafu design mnakomalia ishu ya mume wa mtu,kwan mie nyani?ebooh
Ulizen maswal mengine bana lol
 
Back
Top Bottom