Hahahahahahahah lol! Mbona kuna baadhi humu tumefahamiana hapa kwa miaka mingi sasa tena tunafahamiana kwa karibu sana, Nashukuru Mwenyezi Mungu ni watu wazuri sana tunawasiliana hata nje ya humu na wengine ambao machale yalinicheza pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.
Inabidi kuwa extra careful kufahamiana na watu humu ama unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu. Si watu wote wanaotaka kukufahamu humu ni watu wazuri na siku hizi kuna watu wasiojulikana hawakawahi kukumiminia risasi 40 au kukutosa baharini.[/QUO