Naomba kufundishwa kupiga mluzi

Naomba kufundishwa kupiga mluzi

Naomba kufundishwa kupigq ule mluzi wa kelele kali. Achana na huu wa kuimbia nyimbo. Au kuna watu haiwezekani kabisa kupiga mluzi?
Nenda lumumba ya ccm watakufundisha ...wewe waambie tu unataka kuwa chawa wa mikutano ya mama ..na buku 7 utapewa
 
M

mbona aijaelewa,wewe ndo mwanamke au konda ulimshtua ili amuone mwanamke mwingine.
Hivi wewe huwa ni ke/me maana kuna mda unakuja kiume saa nyingine kike!
Mi ni mwanamke niliyelelewa kiume😔
 
Haya, mkono wa kuume weka kidole cha pili na cha tatu kutoka kikubwa, viweke katikati ya mdomo, yaani gawa lips sehemu mbili, puliza,

Jitahidi kurekebisha vidole mpaka upate mlio mkubwa.

Please feed me back.
Kama kesha weza SA100 ajulishwe kuwa kapata chawa mpya wa kampeni za uchaguzi akamkabidhi buku 7 yake
 
Mi ni mwanamke niliyelelewa kiume😔

Haya, mkono wa kuume weka kidole cha pili na cha tatu kutoka kikubwa, viweke katikati ya mdomo, yaani gawa lips sehemu mbili, puliza,

Jitahidi kurekebisha vidole mpaka upate mlio mkubwa.

Please feed me back.
Kumbe nawe mtundu,huwa napenda mademu watunduwatundu.Ukiwaza kumkunja,mara migulu pande mara inyanyue naye yumo tu!daa raha sana
 
Naomba kufundishwa kupigq ule mluzi wa kelele kali. Achana na huu wa kuimbia nyimbo. Au kuna watu haiwezekani kabisa kupiga mluzi?

Fanya kama unatoa ulimi nje ukiwa umeukunja (kama pua ya nguruwe) alafu puliza bwashee
 
Ukichunga ng'ombe utajua kupuliza aina zote za miluzi kutokana na umbali wa ng'ombe ili arudi kwenye kundi...tena hauweki vidole mdomoni...upo mluzi ng'ombe anajua unamhusu kabisaa na anasimaa...
 
Back
Top Bottom