Mkuu, hakuna mwanamke mwenye cheo cha mke anaeweza kufanya jambo lolote pasipo idhini ama mumewe kufahamThe Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Not to be anal. Not to get in anybody’s personal business and all that jazz.Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Wapo japo sijuhi sana majina yao..kuna Upendo peneza nafikiri toka Geita,Catherine Ruge from serengeti,Yosepha Komba muheza ....Huyo Catherine Ruge alifatwa na Bulaya kumpa hiyo dili ila akawa mzito kufanya mamuzi...hoo watu wamekufa kunipigania sijuhi wengine wako ndani wakamwacha njianiWabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?
Hilo la 2 ni uongo, Anthropia ni mke wa Mhandisi Anjelo AloyceNafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA
Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.
1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?
2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?
Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?
Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?
Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Dah, Anthropia sio mke wa John MremaThe Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Hao wa mwisho ni wadada/wamama woteWamechaguana mtu na mpenzi wake.
Anatropia-John Mrema.
Ester Matiku-Salim Mwalim.
Ester Bulaya-Halima Mdee.
Mama wa chato hatakiwi na "deep state"....aliambiwa atoe jina kugombea ubunge ili apewe uDc akakataa.kwahiyo hayumo kwa amri toka juuKama wamemuacha yule ma wa chato aliyegombea ubunge bas cdm Ni mashetani wakubwa
Does it matter?Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Not be anal. Not to get in anybody’s personal business and all that jazz.
But...however...
Mmoja wa walioapishwa ni Halima Mdee.
Hivyo naamini na yeye ni kati ya hao “19 wote”.
Je, Halima Mdee ana mume? Kaolewa lini?
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyeweNafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA
Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.
1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?
2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?
Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?
Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?
Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Usiwe mjinga, wewe kima.pamoja na haya kufanyika bt bado kuna wajinga wanashupaza mishingo kutetea ujinga wa alichozungumza mnyika
Hujanielewa na ndo maana umekuwa defensive kana kwamba umekosolewa au umekuwa attacked.Sijui kama nimekuelewa
But kikubwa nilikuwa nauliza kupata
Confirmation
Mfano nilikua sijui mmoja ni Mke WA mgombea mwenza Salum Mwalimu..
Na mwingine nafikiri kazaa na Mbowe
Sijui kuhusu Halima..
Thread inahusu kutafuta facts
Sija ongea chochote as facts
Ndo maana nilisema kama nimekuelewaHujanielewa na ndo maana umekuwa defensive kana kwamba umekosolewa au umekuwa attacked.
Hujaona kama nimeuliza swali?
Kuuliza swali au maswali si ndo kutafuta facts zenyewe, au?
Na ndo maana nami nikauliza kama Halima Mdee naye ni mke wa mtu, maana umeuliza kuhusu wote hao 19? Au hujauliza?
Ndo nami nikauliza kama Halima naye yuko kwenye holy matrimony!
Maana nijuavyo, hayuko kwenye ndoa. Lakini yawezekana nikawa nina taarifa za uongo.
Hujayaona maswali yangu?
Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema
Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba
- Anatropia - J Mrema
- Esther Matiko - Salum Mwalimu
- Hawa Bananga - Ali Bananga
Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Mswahili bana mpenzi wa mbowe Joyce hayumo sasa wameanza kumchomekea JescaDuh Jesca si nilisika ni Mke WA kafulila???