Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Mkuu, hakuna mwanamke mwenye cheo cha mke anaeweza kufanya jambo lolote pasipo idhini ama mumewe kufaham
Kwahiyo wake za watu ambao wanachepuka wanapata idhini ya waume zao? au hao kwa tafsiri yako hawasitahili kuitwa wake? Mkuu haya maisha yamejaa usaliti wa kila aina,,ni vizuri mda wote kujiandaa kisaikolojia maana chochote kinaweza kutokea.
 
You sound intelligent
 
Hivi unadhani uhusiano wake na bulaya ni tetesi?
Not to be anal. Not to get in anybody’s personal business and all that jazz.

But...however...

Mmoja wa walioapishwa ni Halima Mdee.

Hivyo naamini na yeye ni kati ya hao “19 wote”.

Je, Halima Mdee ana mume? Kaolewa lini?
 
Hivi unadhani uhusiano wake na bulaya ni tetesi?
Ni kweli au ni hekaya za watu tu? Nasikiaga tu watu humu mitandaoni wanadai hivyo lakini sijawahi kutilia maanani.

At the end of the day, IDGAF!
 
Mswahili bana mpenzi wa mbowe Joyce hayumo sasa wameanza kumchomekea Jesca
Halafu huyo Joyce ujuwe alikuwa ni mke wa Mtoto wa Ndesa pesa, alikuwa ni reception wa Keys hotel pale Moshi mtoto wa Ndesa akakolea akavuta mzigo.

Familia ilipinga sana ndoa hii lakini mtoto hakusikia wakamuacha amuoww Joyce, sasa mwana kulitafuta mwana kulipata ndoa imevunjika, Mwamba anajimegea tu.

Yani Mbowe sijui anakwama wapi?
 
Propaganda za kijani kibichi Ni za kitoto sana , mnahangaika bure kutafuta wabunge wa kuunda PAC na LAAC mabeberu sio wajinga wameiona muvi yenu yote hella hazitatoka mapimbi nyie .
 
Esther Bulaya = mimi!
Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema
  • Anatropia - J Mrema
  • Esther Matiko - Salum Mwalimu
  • Hawa Bananga - Ali Bananga
Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…