Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
lengo ni nin?tunalipata wap?Tatizo kubwa ni ujinga na kutoelewa lengo la maisha.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
From which perspective, religion, science/evolutionTatizo kubwa ni ujinga na kutoelewa lengo la maisha.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
naomba clarification y maelez yko.Pia dini ni hatari na sumu mbaya sana kwa maisha ya binadamu. 80% ya changamoto za maisha ya watu katika dunia hii inachangiwa na uongo na upotofu wa mafunzo ya dini.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app