Naomba kujibiwa swali langu, sitapenda kejeli kwa wajibuji

Naomba kujibiwa swali langu, sitapenda kejeli kwa wajibuji

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali

"Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)?

Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi mdogo ila base kwenya maswali yenyewe.
 
Kama wanyama wenye akili ndogo wanaishi pamoja sembuse sisi binadamu tulio na akili!
 
Back
Top Bottom