Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.

Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.

Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije kufanya kazi pale nitakapo weza baadhi ya majukumu.

Nipo tayari na nimedhamilia nitakuwa mwelewa na mtiifu na mchapakazi.
 
Wengine Wana kazi za uchangudoa mkuu
 
Nenda veta nadhani muda sio mrefu walitangaza nafasi za mafunzo bure ktk fani unayotaka kwa ufadhili was ofisi ya waziri mkuu, ni bure gharama yako ni nauli tu kama unakaa mbali na chuo

Nenda chuo chochote cha veta kilicho karibu na ww upate utaratibu
 
sita kuja kufanya tena au ni seme kusaidia kama kichwa chako cha uzi kinavosema na mwisho wa siku kuharibu ofisi kwa ajili ya malengo yako.

vijana mumevunja uaminifu sana kwenye maisha haya.
 
Bosi pole sana ila binadamu hatufanani tafadhali nakuomba nakuahidi mazuri tafadhali nakuomba nipe nafasi
 
we una nyota ya kupokonya kibarua cha mtu
 
Nenda veta nadhani muda sio mrefu walitangaza nafasi za mafunzo bure ktk fani unayotaka kwa ufadhili was ofisi ya waziri mkuu, ni bure gharama yako ni nauli tu kama unakaa mbali na chuo

Nenda chuo chochote cha veta kilicho karibu na ww upate utaratibu
Mkuu asante kwa tarifa
 
Hii Ni ya kweli mkuu..nataka nichangamkie fursa hii..
Nenda veta nadhani muda sio mrefu walitangaza nafasi za mafunzo bure ktk fani unayotaka kwa ufadhili was ofisi ya waziri mkuu, ni bure gharama yako ni nauli tu kama unakaa mbali na chuo

Nenda chuo chochote cha veta kilicho karibu na ww upate utaratibu
 
Wakuu msaada wenu bado unahitajika.
Mkuu tokea umalize kidato cha nne kuna kazi zipi umewahi kuzifanya.????

Na hapa Dsm unaishi maeneo gani..?

Jibu nikupe connection.,, ukiona hapa huna uhuru njoo inbox
 
Asante mkuu nimekutumia pm tayari
 
Back
Top Bottom