clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
Wengine Wana kazi za uchangudoa mkuuHabari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.
Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije kufanya kazi pale nitakapo weza baadhi ya majukumu.
Nipo tayari na nimedhamilia nitakuwa mwelewa na mtiifu na mchapakazi.
Kuwa makini tumia mb kwa faida.Wengine Wana kazi za uchangudoa mkuu
Kumbe na wewe umekosa busara na hekima kiasi hiki ?Wengine Wana kazi za uchangudoa mkuu
Bosi pole sana ila binadamu hatufanani tafadhali nakuomba nakuahidi mazuri tafadhali nakuomba nipe nafasisita kuja kufanya tena au ni seme kusaidia kama kichwa chako cha uzi kinavosema na mwisho wa siku kuharibu ofisi kwa ajili ya malengo yako.
vijana mumevunja uaminifu sana kwenye maisha haya.
hatariKumbe na wewe umekosa busara na hekima kiasi hiki ?
Mkuu asante kwa tarifaNenda veta nadhani muda sio mrefu walitangaza nafasi za mafunzo bure ktk fani unayotaka kwa ufadhili was ofisi ya waziri mkuu, ni bure gharama yako ni nauli tu kama unakaa mbali na chuo
Nenda chuo chochote cha veta kilicho karibu na ww upate utaratibu
Sawa mkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Nenda veta nadhani muda sio mrefu walitangaza nafasi za mafunzo bure ktk fani unayotaka kwa ufadhili was ofisi ya waziri mkuu, ni bure gharama yako ni nauli tu kama unakaa mbali na chuo
Nenda chuo chochote cha veta kilicho karibu na ww upate utaratibu
Mkuu tokea umalize kidato cha nne kuna kazi zipi umewahi kuzifanya.????Wakuu msaada wenu bado unahitajika.
Hovyo shingoni umening’iniza boga jifunze uwepo wako humu uwe wa faida usipokuwa na hoja usitie neno hutoshtakiwa.Wengine Wana kazi za uchangudoa mkuu
Asante mkuu nimekutumia pm tayariMkuu tokea umalize kidato cha nne kuna kazi zipi umewahi kuzifanya.????
Na hapa Dsm unaishi maeneo gani..?
Jibu nikupe connection.,, ukiona hapa huna uhuru njoo inbox