Kwa mara ya kwanza kuifahaham jamii forum nilivutiwa sana na kuwa natembelea kila siku ktk mtandao huu maarufu hapa mchini kama guest.hivi majuzi let say mwaka jana nilipata bahati kuingia humu ndani kama guest na kushuhudia mdahalo muhimu sana kati ya jf members na mh.zito zuberi kabwe kwa kupitia kwake asha dii.nikiri kusema kwamba nilivutiwa sana na jinsi mdahalo huo ulivyokuwa mkali wakusisimua na kuvutia na baadhi ya wanajamii f wakawa wanasema hii si haki kwa nini na sisi guest tusijisubscibe?hii ni kweli lakini ni vema watu tukaielewa vizuri hii mitandao ya jamii kabla ya kujiunga nayo ili tuwe na michango yenyemanufaa hapo baadae.nitashukuru kama nitapokewa.