Naomba kujiunga nanyi

Naomba kujiunga nanyi

kidim

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
43
Reaction score
7
Kwa mara ya kwanza kuifahaham jamii forum nilivutiwa sana na kuwa natembelea kila siku ktk mtandao huu maarufu hapa mchini kama guest.hivi majuzi let say mwaka jana nilipata bahati kuingia humu ndani kama guest na kushuhudia mdahalo muhimu sana kati ya jf members na mh.zito zuberi kabwe kwa kupitia kwake asha dii.nikiri kusema kwamba nilivutiwa sana na jinsi mdahalo huo ulivyokuwa mkali wakusisimua na kuvutia na baadhi ya wanajamii f wakawa wanasema hii si haki kwa nini na sisi guest tusijisubscibe?hii ni kweli lakini ni vema watu tukaielewa vizuri hii mitandao ya jamii kabla ya kujiunga nayo ili tuwe na michango yenyemanufaa hapo baadae.nitashukuru kama nitapokewa.
 
Karibu sana lakini lipo jukwaa la Utambulisho nadhani MoDs watakusaidia kuiweka mahali pake. Karibu na uwe kama Great Thinker.
 
Karibu lakini hapa ulipo post si muafaka,kuna jukwaa la minakasha ya Manjuka!

Subiri waje wahudumu al maarufu Mods wakuhamishie kunako!
 
Karibu.

Humu kuna mawazo mengi ila wengi wao ni wa ajabu sana.

Ukiipongeza CCM kwa mazuri wewe ni mwana CCM na ni gamba and vice versa

Ukiipongeza Chadema kwa mazuri wewe ni mwana Chadema na ni gwanda and vice versa

Sio wote waliomu humu ni great thinkers. Karibu utachuja mwenyewe.
 
Kwa mara ya kwanza kuifahaham jamii forum nilivutiwa sana na kuwa natembelea kila siku ktk mtandao huu maarufu hapa mchini kama guest.hivi majuzi let say mwaka jana nilipata bahati kuingia humu ndani kama guest na kushuhudia mdahalo muhimu sana kati ya jf members na mh.zito zuberi kabwe kwa kupitia kwake asha dii.nikiri kusema kwamba nilivutiwa sana na jinsi mdahalo huo ulivyokuwa mkali wakusisimua na kuvutia na baadhi ya wanajamii f wakawa wanasema hii si haki kwa nini na sisi guest tusijisubscibe?hii ni kweli lakini ni vema watu tukaielewa vizuri hii mitandao ya jamii kabla ya kujiunga nayo ili tuwe na michango yenyemanufaa hapo baadae.nitashukuru kama nitapokewa.

Swali la msingi, Wewe Gamba au Gwanda?
 
Karibu sana huku kuna mengi sana mabaya na mazur lakin yote ni changamoto.
 
Back
Top Bottom