Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Hii biashara nilifanya na naipenda Sana na inafaida Sana,chimbo kuu ni Zanzibar my dia,Kuna mtaa unaitwa kwa haji tumbo hapo ndo mwsho wa matatizo yote ya vyombo Bei rahis Sana na vizur Sana ,Kama unaweza nenda kwanza ukajionee ,Zenj ndo kila kitu kwa hii biashara na inafaida Sana na ili uwe na mzunguko mzur usiuze kwa Bei kubwa ili uuze haraka ulete Mali mpya kila siku..all the best
 

Hilo jina kwa Haji Tumbo ndio duka au mtaa ?
 
Tani 1 ni 1.3 Mil Tsh
Nusu Tani laki 7
Ila bi bei bila usafiri wa kutoka China kwenda Tz
Hapo ni mpaka kampuni ya usafiri ipime mzigo ila kwa mara ya mwisho kutuma Tani 1 ilikuwa USD 550
Kodi hapa ikoje maana hapa ndo tatizo tunakamuliwa utadhani wavamizi kwenye nchi ya wenyewe!!
 
Kodi hapa ikoje maana hapa ndo tatizo tunakamuliwa utadhani wavamizi kwenye nchi ya wenyewe!!

Hapana, unawapa kampuni ya usafirishaji mzigo wako na wewe uhusiki na kitu kingine mpaka mzigo unafika gharani (warehouse) yao
Mfano wa kampuni ni kama Silent ocean, GNM cargo, Tosh ltd etc
Na wanapima kwa volume (ukubwa wa mzigo wako) ambapo 1 CBM yaani cubic meter ni 450 USD
 
Nitakutafuta mkuu hii kitu ni nzuri sana inaonekana.... JF ukikaa vizur unatoboa....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…