Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Hii comment iwekewe pin au ifanyiwe lamination kabisa
 
Nenda Kariakoo jilani na soko dogo,ulizia mtaa wa vyombo vyombo vya jumla
 
Poleni wale walikuwa wanasubiri feedback ya mzigo wa vyombo nilipoteza huu uzi na nilikuwa sijui naupata vipi

Vyombo vilifika kwa mida ule ule kwa kuwa ilikuwa nimefungia tani ya watu wengi kuna watu walichelewa kulipia usafiri

Vyombo vimetoka na sasa vipo store kwetu mikocheni [emoji1666][emoji1666]






 
Mkuu naomba tuwasiliane, nimekutext inbox
 
Hongera sana mkuu naomba kujua gharama za usafiri zipoje kwa 1ton

Hivyo vilivyofika usafiri wa tani 1 ulikuwa 480USD, nina vingine tani 1 vinakuja hivyo usafiri ni 690 USD ni vikubwa sana so box kubwa CBM kubwa
Huo ndio utofauti
 
Kwenye ton kuna vyombo vingapi?

Inategemea na size ya vyombo ukichukua vikubwa inamaana vitakuwa vichache katka tani 1, ukichukua vidogo inamaana ni vingi
Kawaida Pcs 1400 mpaka 2200
 
Vyombo vipo store na soon naviuza ukifika na hela yako tu kuanzia Tsh 10000 nakupa vyombo nakuhesabia tu

Karibuni
 
Nao
Hivyo vilivyofika usafiri wa tani 1 ulikuwa 480USD, nina vingine tani 1 vinakuja hivyo usafiri ni 690 USD ni vikubwa sana so box kubwa CBM kubwa
Huo ndio utofauti
Naomba tuone picha ya hivo vikubwa nijiandae naeza agiza maana Nipo mkoa
 
Ubarikiwe mkuu....

Sasa mkuu unavyochanganyiwa uko huweza ukapewa vyombo visivyo kuwa na wteja/visivyo kuwa na ubora.
 
Ubarikiwe mkuu....

Sasa mkuu unavyochanganyiwa uko huweza ukapewa vyombo visivyo kuwa na wteja/visivyo kuwa na ubora.

Ndio maana nipo kwa ajili ya kukufungia kama utahitaji [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 



Hizi pia tunafungia watu wakihitaji
Ni serving dishes za katika masherehe
Naweka picha photoshooted pia ili muweze kuelewa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…