Jamaa kumbe tapeli. Watu wameshalizwa huko kwenye group. Umekusanya pesa za watu na kusepa
Watu hadi sasa wanalalamika mizigo yao ya tangu July hakuna, hujibu malalamiko yao kwenye group, wala pesa hurudishi. Na simu hupokei. Au niweke screenshots?Na hiyo ndio hulka ya mtanzania mwenye mawazo finyu bila upembuzi.
Naomba uniambie nimekutapeli nini au nimemtapeli nani ?
Kimeumana..Watu hadi sasa wanalalamika mizigo yao ya tangu July hakuna, hujibu malalamiko yao kwenye group, wala pesa hurudishi. Na simu hupokei. Au niweke screenshots?
Watu hadi sasa wanalalamika mizigo yao ya tangu July hakuna, hujibu malalamiko yao kwenye group, wala pesa hurudishi. Na simu hupokei. Au niweke screenshots?
Kama mizigo ya watu imefika kwanini miezi yote hiyo wanalalamika? Kwanini hufafanui kwenye group badala yake uko kimya na simu hupokei. Mtu hajui kama mzigo umenunuliwa na uko wapi. Hela umepiga kimya.Ndio nasema unaongelea kitu kwa madhania, issue ni kuwa nipo busy na professional job kwa sasa sitangazi biashara kuhusu mizigo ya watu walioagiza imefika muda tu na muhusika wa Tanzania alifanyiwa operation
Mtu kama wewe ndio mnarudisha maendeleo nyuma na mkizeeka mnakuwa wachawi
Kama ni miezi6 hao wamepigwaKuna shida sehemu hasa kwa muagizaji ndugu Trendz ukubali. Ikiwa ni kweli malalamiko ya wateja hayatatuliwi na wamelipia mzigo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita, unawajibika kutolea ufafanuzi mahali sahihi unapowasiliana nao.
Pia kusema mhusika alipata upasuaji sidhani ikiwa ni jibu sahihi ungeangalia namna ya kufanya kufikisha mzigo kwa wahusika kuliko kuendelea kushikilia mitaji ya watu mpaka mgpnjwa wako apone.
Ni ushauri tu, japo sikuombwa kuutoa. Samahani kwa kuingilia ikiwa mmoja wenu atakwazika
Uko sahihi mkuu. Sasa jamaa mwanzo alikusanya pesa akawaletea mzigo, watu walivyoamini wakawa mengi kakusanya tena then kasepa.Kama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6
mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
unaagizaje ? Unapata wapi supplier?Kama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6
mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
dah Nilikuwa nataka niagize nikawa nahofia maana % kubwa wa wabongo wanaoagizishia watu bidhaa kutoka chini ni mtihani aiseeUko sahihi mkuu. Sasa jamaa mwanzo alikusanya pesa akawaletea mzigo, watu walivyoamini wakawa mengi kakusanya tena then kasepa.
Mwanzo alikuwa anawajibu hovyo kwa dharau. Ilipofika Oktoba watu wakaona muda umeenda sana wakazidi kuhoji, akawajibu hiyo Oktoba mtu wake anayepokea mizigo Dar kaugua ghafla kakimbizwa theatre so mizigo itatoka akipona na mgonjwa hawezi ongea na simu so wasimpigie.
Nov watu wakaomba awaelekeze mgonjwa alipo wakampe pole, akasema wasiende mgonjwa anapelekwa kufanyiwa operation nyingine wasubiri apone na asipigiwe simu.
Watu wakaomba basi atafute kijana mwingine akafatilie mzigo awape, akawa mkali.
Jamaa hapokei simu, sms hajibu n.k na akijibu anajibu kwa dharau. Hapa juzi kasema hana hela ya kutuma mizigo, wateja walipie then watamdai.
Tangu July watu wamepigwa doro.
Kakudo nakukubali Sana harakati zako tupeane maujanja yakuagiza njeKama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6
mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
Nilijua vinatoka China! Fafanua dear...Wanachukua Zanzibar
OMMIE TRENDZ CHINA TZ?Hapana mimi ni OMMIE TRENDZ
Wee....[emoji15]Jamaa kumbe tapeli. Watu wameshalizwa huko kwenye group. Umekusanya pesa za watu na kusepa
Minimizing! Yapo magroups 2Uko sahihi mkuu. Sasa jamaa mwanzo alikusanya pesa akawaletea mzigo, watu walivyoamini wakawa mengi kakusanya tena then kasepa.
Mwanzo alikuwa anawajibu hovyo kwa dharau. Ilipofika Oktoba watu wakaona muda umeenda sana wakazidi kuhoji, akawajibu hiyo Oktoba mtu wake anayepokea mizigo Dar kaugua ghafla kakimbizwa theatre so mizigo itatoka akipona na mgonjwa hawezi ongea na simu so wasimpigie.
Nov watu wakaomba awaelekeze mgonjwa alipo wakampe pole, akasema wasiende mgonjwa anapelekwa kufanyiwa operation nyingine wasubiri apone na asipigiwe simu.
Watu wakaomba basi atafute kijana mwingine akafatilie mzigo awape, akawa mkali.
Jamaa hapokei simu, sms hajibu n.k na akijibu anajibu kwa dharau. Hapa juzi kasema hana hela ya kutuma mizigo, wateja walipie then watamdai.
Tangu July watu wamepigwa doro.
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?Minimizing! Yapo magroups 2
Group 2
Group 3
Yote yapo active hakuna lililojaa
Group namba 2 kimyaa simsikii mtu hata mmoja! Lakini group lipo active halijajaa ni MUONGO!
Group namba 3 watu wanauliza lakini hakuna majibu!
Namba za simu za groups admins:
+255 689 337 097 Group Admin
+86 152 1408 9927 Group Admin
Group Name: Agiza kutoka china 2
Group Name: Acids Ultima China 3
Group 2
"UKILIPIA MZIGO HELA HAIRUDI Utabadili bidhaa TU"
Created by +86 152 1408 9927
Date: 10.10.2018
Instagram:
ommie_trendz_CHINA_TZ
ommie_trendz_china
Unaagiza wapi au kwa njia gani maana dah wabongo wanatunyooshaKama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6
mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
Weka nduguMkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?
Niweke screenshots hapa?
Mrejesho kutoka China TAFADHALI.....Mimi nafanya naagizisha direct China vya kupima kwa Tani ni mchanganyiko, niko navyo vipo njiani vinafika mwezi wa 8 naweza kukuuzia robo tani ukihitaji
Bei gani kwa tani? Na usafiri?View attachment 1847897
View attachment 1847898
View attachment 1847899
View attachment 1847900
View attachment 1847902
View attachment 1847904
View attachment 1847905
Vikifika nitakuuzia vichache, baada ya hapo ukipenda nitakuagizishia
Huo ni mfano wa vyombo nilivyochukua ni mchanganyiko wanapima kwa uzito wa Tani