Naomba kujua aina za Engine na tabia zake

Naomba kujua aina za Engine na tabia zake

Hapana umeongea vitu viwili tofauti kidogo mark 2 za zamani zinatumia 1G kavu na 3S iko kwenye noah za zamani pamoja na rav 4 za zamani na ulaji wake wa mafuta hasa 1G inakula sbb ni 6 cylinders
Ona wingi wa piston unafanya mafuta yaliwe kidogo...tuache itikadi watanzania.
 
1hz ni enjin ya landcruzer inakaa pia kwe ye toyota coster ni ngumu ina nguvu ila hainwendo kivile
 
Osaba itakuwa engine na magari yake huyajui !! toyota ukiwauliza 1jz imefungwa wap watakupa list zao ambapo verosa vr25 lazima iwepo mark 2 nk ni sawa na ww unavyojua 1g kwa mark 2 mi naijua kwa alteza na crown nk....mark 2 haikuumbiwa 1G
mark 2 imeumbiwa 1G mzee
chaser ndo 1jz
 
Engine za Gari? Ndege, Meli au Pikipiki?
Wakuu kwema humu?
Naomba kujua aina zote za engine za magari na tabia zake.
Mfano gx 100 mara 3l, mara 2R sijui nini yani natamani sana kujua wakuu.
Wekeni tu nyingi iwezekanavyo tupate shule.

Mbarikiwe sana.
 
4s ni engine ngumu sana inapatikana kwenye gari kama mark 11 za kitambo ni nzuri sana saizi zipo kwenye Noah izi engine ni ngumu balaa mafuta zinakuls kidogo sana inaweza kula mpaka km 15 kwa lita kama haijaguswa na mafundi 3L ni engine nzuri pia zna tatizo la kuchemsha
Umetuuzia chai 4s ipo kwenye NOAH ipi?
 
Back
Top Bottom