rajabkisauti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 566
- 316
Ona wingi wa piston unafanya mafuta yaliwe kidogo...tuache itikadi watanzania.Hapana umeongea vitu viwili tofauti kidogo mark 2 za zamani zinatumia 1G kavu na 3S iko kwenye noah za zamani pamoja na rav 4 za zamani na ulaji wake wa mafuta hasa 1G inakula sbb ni 6 cylinders