Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalaam,
Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo.
Ahsanteni.
Yanapatikana lakini..?Kaliua Tabora,gunia elfu 60,000
70,000/=Huko ulipo sh ngapi
Yapo kwa wingi lakini..?Kasekese Mpanda Katavi Kg 110 elfu 42
Kilosa ipi hio..Kilosa gunia linauzwa 60,000 elfu.
. Morogoro.Kilosa ipi hio..
Ndio yanapatikana,vijana wametega barabarani wanakusanya kutoka kwa watu wanaotoka nayo vijijiniYanapatikana lakini..?
Kilosa kubwa, kuna Ulaya, msowero, rudewa nk. Morogoro.
Maeneo gani bei hiyoKilosa gunia linauzwa 60,000 elfu.
..zomboMaeneo gani bei hiyo
Foleni ya malori Soko la Mahindi manzese Leo tarehe 16/06/2024Asalaam,
Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo.
Ahsanteni.