AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Foleni ya malori Soko laAsalaam,
Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo.
Ahsanteni.
Foleni ya malori Soko la Mahindi manzese Leo tarehe 16/06/2024
Hapa Manzese ndipo Madalali wanapiga hela ndefu kuliko Mfanyabiashara aliyeweka mamilioni yake na kuhangaika kutafuta mzigo Mashambani.Foleni ya malori Soko la Mahindi manzese Leo tarehe 16/06/2024
Naomba kujua bei bossFoleni ya malori Soko la
manzese Leo tarehe 16/06/2024
Kilosa gunia linauzwa 60,000 elfu.
Kiteto piri Kwa piri 55000/ kg 110, Matui 55000/ kg 110, Engusero 55000/ kg 110.40,000 kiteto
Siyo kiteto mjini huko shamba huko engongongareKiteto piri Kwa piri 55000/ kg 110, Matui 55000/ kg 110, Engusero 55000/ kg 110.
Manzese. Leo Bei ya kuuza elikuuwa. 600 Kwa kg
Leta hapa babati ule 50k kila gunia40,000 kiteto