Naomba kujua bei ya mahindi soko la Songea Mjini

Naomba kujua bei ya mahindi soko la Songea Mjini

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
 
Kwa gunia la 100kg bei
Inacheza 45000-50000 songea
Moshi&Kinondoni zinaongoza bei iko juu 70000
Iringa, Songea, Sumbawanga ndio sehemu ambapo bei ziko chini zinacheza 45000-50000
 
Back
Top Bottom