Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
2,800
Reaction score
6,927
Asalaam,

Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.

Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.

Natanguliza shukrani.
 
Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza shukrani.
Wewe unauzaje kwa debe na upo wapi?
 
Swali ndani ya jibu inaruhusiwa kama unafanya udadisi!! usipanick
 
Mkuu kama unaweza leta na kagera debe elfu tano pia pumba ya mahindi
 
Pumba zipi za mahindi au mpunga.
Falme za kiarabu soko zuri sana kule,pana mtu alitoa pumba za mpunga ana export uarabuni,pia Kanda ya ziwa zinaenda sana Kenya.
Ukiziweka kwenye mfumo wa pellet utasafirisha kwa kiwango kikubwa sana kuliko zikiwa haziko kwenye mfumo wa pellet yaani tambi
 
Asalaam,

Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.

Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.

Natanguliza shukrani.
Na Mimi Ninahitaji mteja wa pumba za mahindi zaidi ya gunia 100 , mtwara bei 2500 Kwa debe
 
Pumba zipi za mahindi au mpunga.
Falme za kiarabu soko zuri sana kule,pana mtu alitoa pumba za mpunga ana export uarabuni,pia Kanda ya ziwa zinaenda sana Kenya.
Ukiziweka kwenye mfumo wa pellet utasafirisha kwa kiwango kikubwa sana kuliko zikiwa haziko kwenye mfumo wa pellet yaani tambi
Mkuu, kama unaweza kuelezea zaidi kuhsu hili ntashukuru sana
 
Mkuu, kama unaweza kuelezea zaidi kuhsu hili ntashukuru sana
Usijichanganye, its very complicated wakati Viwanda vya vyakula vya kuku wanalipa cash na bei nzuri. Ukipeleka moshi ndo faida is super profit.
 
Mkuu kama unaweza leta na kagera debe elfu tano pia pumba ya mahindi
Huko mnalishwa pumba ya kahama, Morogoro mpaka huko siwezi pata faida labda kama gari ni langu na lina safari zingine tu, sio za kuleta pumba peke yake.
 
Back
Top Bottom