Wewe unauzaje kwa debe na upo wapi?Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza shukrani.
Unaulizwa swali na wewe unauliza..?Wewe unauzaje kwa debe na upo wapi?
Uko sehemu gani..? Na unanunua mara kwa mara au..?Jana nimenunua debe moja 5k. Pumba ya mahindi. Dar
Kigamboni. Nanunua debe tano kila mweziUko sehemu gani..? Na unanunua mara kwa mara au..?
Safi, nikianza kuleta dar kwa wingi, nitakushtuaKigamboni. Nanunua debe tano kila mwezi
Na Mimi Ninahitaji mteja wa pumba za mahindi zaidi ya gunia 100 , mtwara bei 2500 Kwa debeAsalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.
Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza shukrani.
Mkuu, kama unaweza kuelezea zaidi kuhsu hili ntashukuru sanaPumba zipi za mahindi au mpunga.
Falme za kiarabu soko zuri sana kule,pana mtu alitoa pumba za mpunga ana export uarabuni,pia Kanda ya ziwa zinaenda sana Kenya.
Ukiziweka kwenye mfumo wa pellet utasafirisha kwa kiwango kikubwa sana kuliko zikiwa haziko kwenye mfumo wa pellet yaani tambi
Usijichanganye, its very complicated wakati Viwanda vya vyakula vya kuku wanalipa cash na bei nzuri. Ukipeleka moshi ndo faida is super profit.Mkuu, kama unaweza kuelezea zaidi kuhsu hili ntashukuru sana
Huko mnalishwa pumba ya kahama, Morogoro mpaka huko siwezi pata faida labda kama gari ni langu na lina safari zingine tu, sio za kuleta pumba peke yake.Mkuu kama unaweza leta na kagera debe elfu tano pia pumba ya mahindi