Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 3 phase mkuu,Single au three phases??
Double capacitors or single??
Induction au synchronous??
Piga picha zilizoungua weka hapa, jirahisishie kupata msaada watu wengine wana knowledge humu lakini muda wa kukuuliza maswali na kusubiri uwajibu hawana. Weka picha, model yake na maelezo ya kutosha. Weka wepesi wa kupata solution.Ni 3 phase mkuu,
Hayo mengine sina knowledge nayo ila ni kwa ajili ya mashine za unga. Zimeungua zote siku moja
Pole,unadhani shida ni nini,kuna watu wanazisuka upya hizo zikiungua,utatumia nusi ghatamaNi 3 phase mkuu,
Hayo mengine sina knowledge nayo ila ni kwa ajili ya mashine za unga. Zimeungua zote siku moja
Wapo sehemu gani mkuu..? Mawasiliano yao..?Kama upo dar nenda autosokoni wana mota nimenunua 25hp kwa 1.2ml na 20hp ni 1ml.
AyaPole,unadhani shida ni nini,kuna watu wanazisuka upya hizo zikiungua,utatumia nusi ghatama
Wako nkuruma mbele ya ofisi za latra,namba zao ingia Facebook utapata.Wapo sehemu gani mkuu..? Mawasiliano yao..?
Nilikuwa nina wasiwasi na ubora wa wanaosuka hizo,Sasa, badala ya kununu mpya si uzisuke upya hizo zilizoungua? Kupunguza gharama? Kwa mfano Hp 25 iliyoungua kuisuka inaweza kuwa laki 5 tu lakn mpya ni zaidi ya Milion 1, na unakuta hazitofautiani ubora.
Kwa kila motor inayokuwa rewind inapungua ubora wa 10% kama ikiungu au coil zake kuwa burned kwa namna yeyote ileSasa, badala ya kununu mpya si uzisuke upya hizo zilizoungua? Kupunguza gharama? Kwa mfano Hp 25 iliyoungua kuisuka inaweza kuwa laki 5 tu lakn mpya ni zaidi ya Milion 1, na unakuta hazitofautiani ubora.
Kusuka upya kuna jambo mojaNilikuwa nina wasiwasi na ubora wa wanaosuka hizo,
Huwa wakisuka zinakaa kidogo kwa muda kabla hazijasumbua tena..?
Kumrahisishia apige picha nameplate aweke hapa apige picha ndani ilipoungua, picha ya router, endshield . Ili fundi akiangalia nameplate, aangalie na motor yenyewe aje achek endshield, router ndio akupe bei. Maana unaweza suka ukaja kukuta ulitakiwa labda ubadilishe na bearings lakini hukufanya ikaja fail tenaPiga picha zilizoungua weka hapa, jirahisishie kupata msaada watu wengine wana knowledge humu lakini muda wa kukuuliza maswali na kusubiri uwajibu hawana. Weka picha, model yake na maelezo ya kutosha. Weka wepesi wa kupata solution.
Sahihi kabisa mkuuKumrahisishia apige picha nameplate aweke hapa apige picha ndani ilipoungua, picha ya router, endshield . Ili fundi akiangalia nameplate, aangalie na motor yenyewe aje achek endshield, router ndio akupe bei. Maana unaweza suka ukaja kukuta ulitakiwa labda ubadilishe na bearings lakini hukufanya ikaja fail tena