Naomba kujua Bei za Ram

Naomba kujua Bei za Ram

Screenshot_20190413-013408 hii
 
Attachments

  • Screenshot_20190413-013408.png
    Screenshot_20190413-013408.png
    67.6 KB · Views: 32
Ni sdram? Vyema aje na laptop yake kabisa.
Chief laptop yangu N3050 imezingua motherboard niliipeleka kwa fundi kariakoo maeneo ya uhuru computer pale gorofani nafikiri utakuwa unamjua fundi anaitwa pascal akaribu kutengeneza ikashikana, mara ya kwanza kuipeleka ukichomeka kwenye chaj ilikuwa inawaka kwenye port za kuchomeka internet cable kwa kiblink, yeye alidai mazoezi mengi akimaanisha ilipita kwa mafundi wengi, je tatizo hili la motherboard linaweza kuifufua kwa fundi mzuri? Maana uyu pascal wa hapo uhuru namkubali yuko vizuri kwenye hardware, mara nikimpelekea laptop huwa anazimsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuibadili motherboard inawezekana, ila angalia gharama zake, sometime ni bora uuze vifaa vya ndani uongezee ununue nyengine.
 
Et fifa 2019 inachagua pc za ram kwNzia 4gb ndo inPlay
 
Kama unataka kucheza games za kisasa 8gb ndio minimum, chini ya hapo itakuwa slow sana, hasa kama huna dedicated gpu, maana igp inashare ram na system.
 
nawezaje kupata izo ram maana yangu pc ina ram 2gb nataka niweke ingine iyo ya gb 8 ila sijui bei zake nilikua naomba unisaidie na bei kama unazijua

Mkuu kupata ya 8gb moja itakuwa ghali ila unaweza ukanunua 4gb mbili. Laptop nyigi zinakuwa na sehemu mbili za kuwekea ram na desktop sehemu nne.

Kwa 4gb hizi za used madukani bei ni around 30,000 mpaka 40,000.

Pia utahitaji ujue aina ya ram kifaa chako kinachotumia kuna ddr2, ddr3, ddr4 etc na kila ddr inakuwa na sub variety zake.

Njia rahisi unaweza ichomoa iliyopo na kwenda nayo madukani ulinganishe.

Cheki mtaa wa likoma na aggrey kkoo ama machinga complex

Kwa kuanzia unaweza nunua 4gb moja halafu ukatumia na hio 2gb ili iwe 6gb.
 
Mkuu ww uusiki na izi biashara maana uku nimekosa kabisa
 
Mkuu mbona hapo likoma ram ni nyingi kama nyanya, karibia kila duka zipo.

Umefika maeneo hayo?

Mimi sio mfanyabiashara wa hivyo vitu.
 
hivi USB sound card ni tsh ngapi dukani?
 
4GB RAM DDR3 ya laptop inauzwa
price:40,000

laptop hard disk 500GB inauzwa
price:50,000

zote mbili offer kwa 80,000

kama unahitaji nicheki
0768196647

Pia kuna 2GB RAM DDR3
price: 20,000
 
Back
Top Bottom