Styles
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 293
- 255
- Thread starter
- #21
pichaDDR3 2GB kwa 30,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pichaDDR3 2GB kwa 30,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
bado unahitaji ram, uko wapi na unataka GB ngapi?Hello!!
Chief laptop yangu N3050 imezingua motherboard niliipeleka kwa fundi kariakoo maeneo ya uhuru computer pale gorofani nafikiri utakuwa unamjua fundi anaitwa pascal akaribu kutengeneza ikashikana, mara ya kwanza kuipeleka ukichomeka kwenye chaj ilikuwa inawaka kwenye port za kuchomeka internet cable kwa kiblink, yeye alidai mazoezi mengi akimaanisha ilipita kwa mafundi wengi, je tatizo hili la motherboard linaweza kuifufua kwa fundi mzuri? Maana uyu pascal wa hapo uhuru namkubali yuko vizuri kwenye hardware, mara nikimpelekea laptop huwa anazimshaNi sdram? Vyema aje na laptop yake kabisa.
Kwa kuibadili motherboard inawezekana, ila angalia gharama zake, sometime ni bora uuze vifaa vya ndani uongezee ununue nyengine.Chief laptop yangu N3050 imezingua motherboard niliipeleka kwa fundi kariakoo maeneo ya uhuru computer pale gorofani nafikiri utakuwa unamjua fundi anaitwa pascal akaribu kutengeneza ikashikana, mara ya kwanza kuipeleka ukichomeka kwenye chaj ilikuwa inawaka kwenye port za kuchomeka internet cable kwa kiblink, yeye alidai mazoezi mengi akimaanisha ilipita kwa mafundi wengi, je tatizo hili la motherboard linaweza kuifufua kwa fundi mzuri? Maana uyu pascal wa hapo uhuru namkubali yuko vizuri kwenye hardware, mara nikimpelekea laptop huwa anazimsha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kucheza games za kisasa 8gb ndio minimum, chini ya hapo itakuwa slow sana, hasa kama huna dedicated gpu, maana igp inashare ram na system.Et fifa 2019 inachagua pc za ram kwNzia 4gb ndo inPlay
Kama unataka kucheza games za kisasa 8gb ndio minimum, chini ya hapo itakuwa slow sana, hasa kama huna dedicated gpu, maana igp inashare ram na system.
Mkuu kupata ya 8gb moja itakuwa ghali ila unaweza ukanunua 4gb mbili. Laptop nyigi zinakuwa na sehemu mbili za kuwekea ram na desktop sehemu nne.nawezaje kupata izo ram maana yangu pc ina ram 2gb nataka niweke ingine iyo ya gb 8 ila sijui bei zake nilikua naomba unisaidie na bei kama unazijua
Mkuu ww uusiki na izi biashara maana uku nimekosa kabisaMkuu kupata ya 8gb moja itakuwa ghali ila unaweza ukanunua 4gb mbili. Laptop nyigi zinakuwa na sehemu mbili za kuwekea ram na desktop sehemu nne.
Kwa 4gb hizi za used madukani bei ni around 30,000 mpaka 40,000.
Pia utahitaji ujue aina ya ram kifaa chako kinachotumia kuna ddr2, ddr3, ddr4 etc na kila ddr inakuwa na sub variety zake.
Njia rahisi unaweza ichomoa iliyopo na kwenda nayo madukani ulinganishe.
Cheki mtaa wa likoma na aggrey kkoo ama machinga complex
Kwa kuanzia unaweza nunua 4gb moja halafu ukatumia na hio 2gb ili iwe 6gb.
Mkuu mbona hapo likoma ram ni nyingi kama nyanya, karibia kila duka zipo.Mkuu ww uusiki na izi biashara maana uku nimekosa kabisa
Hapana sijafika uko nipo arusha uku ghali mnoMkuu mbona hapo likoma ram ni nyingi kama nyanya, karibia kila duka zipo.
Umefika maeneo hayo?
Mimi sio mfanyabiashara wa hivyo vitu.
Around 10,000 za kichinahivi USB sound card ni tsh ngapi dukani?