Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa kisheria ukilinganisha na mtaji wake?

Masibayi

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
19
Reaction score
65
Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake?

Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua?

Asanteni wanasheria!
 
Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake?

Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua?

Asanteni wanasheria!

swali la wanauchumi ngoja waje wazee wa Macroeconomics ... Monetary policy I think
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…