Naomba kujua changamoto za kufunga Turbocharger kwenye gari

Na ukitaka amini kuwa turbo inamzunguko zaid ya ule wa engine wataalam wanakushauri mara nyingi usi off engine mara tu ikiwa imefanya kazi kwa muda fulan hv hii inamaana inatakiwa ipunguze mizinguko ifanane na ile ya engine ndipo uizime.
Mkuu, hata supercharger huwa na mzunguko zaidi ya engine, unajua kwanini? turbine yake ikispin the same as engine it means its putting the same air as the engine so theres is no gain. In order for SC to get in more Air it supposed to spin much faster than an engine, kwani unafikiri what pumps in more air ni zile pulley? au umesahau kama inside a supercharger kuna turbines na makaprasha mengine ambayo hayo ndio yanapelekea zio turbine kuspin more than an engine?

Hata turbo, engine ikiwa at 1000 rpm, na turbo ikispin kwa 1000rpm hakuna effect

And kiutalaamu asa, the whole point ya kusubiri kwanza kabla ya kuzima moja kwa moja engine sio hio sababu ulosema kwamba eti usubiri ipungue spinning speed. kwani isipopunguwa spinning speed what will happen? ukizima gari butterfly inaclose kwaio hewa hio haiendi tena kwenye engine, so itapotea. The main reason is to cool off turbo after long use (tena ni ile sporty use). Na hii mostly ina apply kwa oil cooled turbos, kuepusha solidification of oil inside the bearings ikaja kublock oil baadae. hio ndio reason.

Na aliekudanganya kuwa aftermarket turbo ni miwa kuliko zile stock nani? hapo labda ununue cheap turbos ilotengezwa store, Lakini kampuni kama HKS, turbonetics etc, labda uiharibu mwenyewe.
 
chilubi,
Point ya kuzima engine sio 7bu ya hewa iache kuingia kwenye engine bari lubrication na ndyo point kwa maana pale oil inapelekwa kwa kusukumwa so unasemaje sio ttzo wakat ukiizima maana yake oil itaacha wakat turbochager inaendeleza mzunguko na kwa hzoefu wangu turbochager ambazo ufanyiwa repare na kutulia labda za mitanbo au magar makubwa sambamba na hilo ile ya kujia ina take advantage kuliko ile ya kununulia
 
Hukunielewa, ndio maana nkakuuliza kama sababu ni utiaji wa hewa? nilitaka kujua kwanini usizime kwa fikra zako wewe, ukiisoma post utaona kuwa nimetaja main reason ya kwanini usizime engine hapo hapo lakini sio kwa sababu eti inaspin kuliko engine, my friend hata supercharger inaspin kuliko engine.

Kuhusu ubora wa turbo, mkuu, ata mimi nina hio experience, hapa home kwetu tuna mitsubishi pajero short chasis diesel turbo powered with intercooler. Turbo yake ikafa, tukanunua nyengine (sio aftermarket, ni ya kuja na engine) nayo baada ya muda ikabuma, tukanunua turbo nyingine pia sio aftermarket (huwa ni used from an engine) gari tukaipeleka pemba kwa ajili ya matumizi (mzee alikwenda hupo) ikawa inapanda vilima vya pemba tangu iende haikufika wiki 2 turbo tena imefeli, tumeipumzisha saivi.

Aftermarket turbos kama alosema mdau Garret, HKS, Turbonetics n.k zipo vizuri kuliko stock, zinadumu mda mrefu.
 
Shukrani mkuu.

Inaongeza 'performance' ya engine kwa maana ipi... kwamba gari inakuwa inapata kukimbia (speed) zaidi?

-Kaveli-
Gari bila turbo ni kama mtu anayepumia kawaida, ikiwekwa turbo ni kama mtu aliongezewa mtungi wa Oxygen.

Turbo inaongeza air intake kwenye engine.
 
Jamani vipi kuhusu engine zenye turbo charger na super charger kwa pamoja? Performance yake inakuaje?
 
Turbo inafunguka at certain rpm ndio unasikia ule mlio wake, ukiwasha ukatulia gari turbo itakuwa inazunguka with no effects.hata ukiwa unaendesha slow pia turbo itazunguka, ukikamua ndo inafunguka
weeeee? hivi unajua mechanism ya turbo wewe

turbo inazungushwa na exhaust gas sasa nikuulize kuna muda ukiwasha gari moshi unakuwa hautoki au?

usishawasha gari tu na hapohapo turbo inaanza kuspin

the more you hit gas pedal the more turbo itaspin kwa speed kubwa na kusukuma hewa kwenye combustion chamber ili kuongeza boost

watu wengi wanadanganyana eti turbo inafunguka at centain rpm uongo mkubwa sana.....

turbo inapachikwa kwenye exhaust manifold so as long as gari imewaka turbo inakuwa inaspin

kinachofanya uhisi inafunguka kwenye centain rpm ni kwamba

ukifika kwenye hizo RPM unazozisema gari inakuwa inatoa exhaust gas kwa wing

as the result zinaizungusha turbo kwa speed kubwa na turbo inasukuma hewa kwa wingi into combustion chamber na kutoa boost kubwa ambayo utafeel the difference ya power/speed

ndio maana unazani imefunguka ila NO turbo inarotate muda wote
 
OTE="chilubi, post: 20820530, member: 55131"]Mkuu tatizo wewe si mtu wa magari kiivo itakuwa ndio maana hufahamu maneno turbo ikifunguka. Anyways, ushawahi kusikia kitu Turbo Lag? Hebu ulizia turbo lag kisha njoo unambie kama turbo ikiwa idle au slow driving kuna any perfomance gain.

Turbo inategemea kzungushwa na exhaust gases, gari inapokuwa idling au inapokuwa in lower rpm hio turbo inazunguka mzunguko wa kawaida tu ambao hauna athari katika mashine, lakini unapokanyagia labda ukafika 4000RPM utaanza kusikia mluzi hapo ndio tunasema turbo imefunguka kwa sababu hapo ndio utaona perfomance gain. (inategemea na aina ya turbo inaweza kufunguka 4000rpm au mpaka ifike juu zaidi)[/QUOTE]


labda niseme kwenye magari haupo don't you know small diesel can't rev past 4500 and medium diesel engine produce their peak power somewhere 3500rpm to 4000rpm while big engines eg scania 124 can't rev past 2500rpm and produce their peak power at 1900rpm then unasemaje turbo inaanza funguka at 4000rpm unazungumzia gari lako au ...maana hapo nimekupa mifano tofaut ya engines za diesel kila moja yenye turbo itasikika kwenye mizunguko tofaut na nyingne .huwez weka kanuni kwamba itaanzia sikika at 4000rpm au zaidi wakati gari ya cc 2000ya diesel 4cly INA produce power take chini ya 4000rpm means kama INA turbo kwa kanuni yako haitasikika ??


afu sio kutegemea na aina ya turbo ni kutokana na tabia ya engine husika ...

last but not least gari yoyote yenye turbo boost is there even at low rpm na sio mpaka uisikie turbo spool ndo ujue imeanza kubust power ya engine ...mlio kusikika ni kwamba inafanya kazi / inazunguka sana na boost hapo ni kubwa coz inafanya kazi had karbu uwezo wake Wa mwsho ...so turbo bust is there sio mpaka uisikie ndo mseme imefunguka et
 
Jimmie Gatsby,
Umesoma vizuri lakini comment yangu au umeruka tu kujibu? Kuna sehemu nimesema kuwa turbo haizunguki ikiwa engine iko on?
 
Eminentia,
labda niseme kwenye magari haupo don't you know small diesel can't rev past 4500 and medium diesel engine produce their peak power somewhere 3500rpm to 4000rpm while big engines eg scania 124 can't rev past 2500rpm and produce their peak power at 1900rpm then unasemaje turbo inaanza funguka at 4000rpm unazungumzia gari lako au ...maana hapo nimekupa mifano tofaut ya engines za diesel kila moja yenye turbo itasikika kwenye mizunguko tofaut na nyingne .huwez weka kanuni kwamba itaanzia sikika at 4000rpm au zaidi wakati gari ya cc 2000ya diesel 4cly INA produce power take chini ya 4000rpm means kama INA turbo kwa kanuni yako haitasikika ?

afu sio kutegemea na aina ya turbo ni kutokana na tabia ya engine husika.

last but not least gari yoyote yenye turbo boost is there even at low rpm na sio mpaka uisikie turbo spool ndo ujue imeanza kubust power ya engine ...mlio kusikika ni kwamba inafanya kazi / inazunguka sana na boost hapo ni kubwa coz inafanya kazi had karbu uwezo wake Wa mwsho ...so turbo bust is there sio mpaka uisikie ndo mseme imefunguka et[/QUOTE]
Rudia tena what you quoted bro. Sijasema kama turbo zote zinafunguka at 4000rpm, na ndio maana nikasema labda... au hujui maana ya neno labda? Sijasema kuwa lazima eti gari ifike 4000rpm muwe mnaasoma na kuelewa nini kimeandikwa.

Halafu Turbo ziko tofauti kwenye response yake, kwaio inategemeana na aina ya turbo pia.

Hapo kwenye quote nlikuwa naeleweshe kwa nini watu wanasema turbo imefunguka, manake turbo ipo kwenye peak perfomance.

Mbona mtaani watu wakiona V8 inachana mbuga utasikia mnyama kafunguka, wanamaanisha kuwa hapo mwanzo ilikuwa haifanyi kazi engine?
 
Dereva Suka,
Asante Rabi ni habari nyingine!! Arusha - Mwanza kupitia Singida wanaitambua!! Hakuna basi lolote la Mchina anaeweza kuifuata. Inavyoparamia Sekenke turbo yake ikiwa ishafunguka na kutoa kale kauluzi wallahi utapenda.
 
1. Wakuu vipi kuhusu turbocharger kwenye magari ya 660cc mfano Suzuki K6A, Pajeeo mini.

2. Je gari yenye cc ndogo na turbo inaweza kwenda safari ndefu mfano 700km?

3. Je gari (660cc) yenye turbo na isiyo kuwa na turbo ipi itaweza kumudu safari ndefu bila madhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…