Mkuu, hata supercharger huwa na mzunguko zaidi ya engine, unajua kwanini? turbine yake ikispin the same as engine it means its putting the same air as the engine so theres is no gain. In order for SC to get in more Air it supposed to spin much faster than an engine, kwani unafikiri what pumps in more air ni zile pulley? au umesahau kama inside a supercharger kuna turbines na makaprasha mengine ambayo hayo ndio yanapelekea zio turbine kuspin more than an engine?Na ukitaka amini kuwa turbo inamzunguko zaid ya ule wa engine wataalam wanakushauri mara nyingi usi off engine mara tu ikiwa imefanya kazi kwa muda fulan hv hii inamaana inatakiwa ipunguze mizinguko ifanane na ile ya engine ndipo uizime.
Hata turbo, engine ikiwa at 1000 rpm, na turbo ikispin kwa 1000rpm hakuna effect
And kiutalaamu asa, the whole point ya kusubiri kwanza kabla ya kuzima moja kwa moja engine sio hio sababu ulosema kwamba eti usubiri ipungue spinning speed. kwani isipopunguwa spinning speed what will happen? ukizima gari butterfly inaclose kwaio hewa hio haiendi tena kwenye engine, so itapotea. The main reason is to cool off turbo after long use (tena ni ile sporty use). Na hii mostly ina apply kwa oil cooled turbos, kuepusha solidification of oil inside the bearings ikaja kublock oil baadae. hio ndio reason.
Na aliekudanganya kuwa aftermarket turbo ni miwa kuliko zile stock nani? hapo labda ununue cheap turbos ilotengezwa store, Lakini kampuni kama HKS, turbonetics etc, labda uiharibu mwenyewe.