Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo.
Screenshot_20230911-141606.jpg

Screenshot_20230911-141519.jpg


Katka picha
 
Nasikia mto ruvu unaazia mbali huko, ninaomba nipate elim ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuz wa mambo
Niliwahi kusikia kuwa unaanzia morogoro milimani huko, ila ngoja tusubiri wajuzi
 
Unanikumbusha Hydrology.

Ila huo mto, unaanzia milima ya Uluguru Morogoro.
 
Safu Za Milima Ya Udzungwa Mpaka Ardhi Oevu Huko Mbalali Ubaruku
 
Mto huu ni mateso makubwa sana kwa wakaz wa Jiji la dar es salaam.

Hivi viongozi hawabuni vyanzo vingine??
 
Viongozi wanashangaza Dana. Ruvu ruvu ruvu tu. Ruvu ikikauka??
Screenshot_20230911-142523.jpg


New list
Screenshot_20230911-142859.jpg

Viongoz wetu wafikirie kufetch kitoka mto pangani kupitia Tanga na bagamoyo
 
Huwa tunashauliwa sana tufanye utalii wa ndani naamini ungefanya mwenyewe utalii wa ndani usingekuja kuanzisha uu uzi umu nakwastaili ii wacha ccm watujazie mikodi maana hatuingiziii pato taifa
 
Back
Top Bottom