Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Niliwahi kusikia kuwa unaanzia morogoro milimani huko, ila ngoja tusubiri wajuziNasikia mto ruvu unaazia mbali huko, ninaomba nipate elim ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuz wa mambo
Tumia simu yako itakuonesha chanzo kwani hata sisi inatubidi tugugo kwenye simu zetu kisha tukupe jibu, ila inasemekana ni mbinguni.Nasikia mto ruvu unaazia mbali huko, ninaomba nipate elim ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuz wa mambo.View attachment 2745814
View attachment 2745817
Katka picha
Ona sasa Mbalali tena! daraja la mto Ruvu unapokatisha mto Ruaha liko mkoa gani?Safu Za Milima Ya Udzungwa Mpaka Ardhi Oevu Huko Mbalali Ubaruku