Mchikichi na MahiwaMimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi hapo Kariakoo?
Winga mtiifuMchikichi na Mahiwa
Nilitaka nitaje pia.Mchikichi na Mahiwa
Mtafute huyu(0694327252)jamaa yupo Makumbusho anauza perfume bei poa sana kwa bei ya jumla na kutuma pia anatuma mikoani ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela ya mzigo ila uwe muaminifu tu ukijifanya mjanja atakufatilia kupitia gari alilotumia mzigo na anakukamata vizuri tu.AsanteMimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi hapo Kariakoo?
0788 117 108 huyo wa kwanzaMchikichi
Winga nakutafuta, check pmMchikichi na Mahiwa
Anauza rejareja pia ?Mtafute huyu(0694327252)jamaa yupo Makumbusho anauza perfume bei poa sana kwa bei ya jumla na kutuma pia anatuma mikoani ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela ya mzigo ila uwe muaminifu tu ukijifanya mjanja atakufatilia kupitia gari alilotumia mzigo na anakukamata vizuri tu.Asante
Ushauri wa bure agiza perfume Zanzibar hauto jutia perfume zao nzuri sana kkoo zipo nzuri kweli ila nyingi sioMimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi hapo Kariakoo?
Sawa asanteMtafute huyu(0694327252)jamaa yupo Makumbusho anauza perfume bei poa sana kwa bei ya jumla na kutuma pia anatuma mikoani ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela ya mzigo ila uwe muaminifu tu ukijifanya mjanja atakufatilia kupitia gari alilotumia mzigo na anakukamata vizuri tu.Asante