Naomba kujua dalili za kisukari maana nahangaika

pua200

Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
80
Reaction score
44
Nipo kwa shoga angu Leo Christmas day. Namsaidia vijikazi, tukisubiri jioni tule Xmas Pamoja.... Leo Niliamka saa tatu asub nimejichokea Sana. Sina Raha Sana naona nahangaishwa na uchovu mwingi. Nilikunywa dompo juzi. Lakini siamin kuwa ni sababu...

Nilichezwa na mwanababa mmoja, lkn hajakukuruka saana kunichosha. So kuchoka huku sio sababu.....

Naendelea na dozi ya maji labda jioni nitakuwa sawa.

Nilishakunywaga Sana pombe ie bia kunako umri wa miaka 27 na leo 33 najistukiastukia Kama Kuna mwenye kujua dalili za kisukar kuchokachoka huku, na je nikaacha pombe na vitu vya sukar itakuwa naiondoa kabisa Kama inaninyemelea?
 
Mkuu umeona hapo tu lo! Joto lote hili chumba Cha AC huna, utaazima?
 
umechezwa na mwanababa..ebu fafanua kidogo hapo mkuu.
Dogo hupo? Usiwe unaogopa kuingia jamvini. Usinichukuliage serious. Feel free mimu huwa najoke tu. Naona umenimaindi kichizi hadi umesusa kuingia jamvin. Unaingia kwa kuvizia tu na kutoweka kama mwezi jua likichomoza
 
Kwanza nakushauri hivi; Acha kujiwazia magonjwa mabaya hivyo. Kisukari kisikie tu kwa wenzio ila kisikukute. Tema mate haraka uuondoe huo mkosi kwako.
Pili; Kama ulikuwa kwenye michezo ya wakubwa huoni hizo ni dalili ya kuwa una kamimba kachanga?? Mnacheza cheza michezo michafu chupu chupu halafu unakuja sema ati unausikia uchovu?? Hizo ni dalili za kachanga flan baada ya siku chache hutaziona siku zako kwani zitakuwa zimetekwa na mtu.
Swali la kizushi tu; Ni mtu wa mtu?? Au msela tu. Ka ni msela una bahati ila awe naye ni msela mwenye kiu ya kulea, otherwise jiandae kuwa single mum soon. Usiue kiumbe wa Mungu tafadhali
 
Asante mkuu nimependa ushauri wako
 
Hivi akitema mate chini ndiyo mkosi haumkuti njiani !!??
 
Nenda kapate vipimo sahihi Hospitali achana Na Makanjanja wa humu

Humu JF Hata ukiuliza hatua Za kutengeneza BOmu la Nyuklia utawapata Washauri wanaojifanya Na wana uzoefu wa kutosha
 
Tuwe Watulivu
Mkuu Akipata Ushauri Unahitajika Kuliko Kawaida.
Engineer Soma Wewe Ngapi Hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…