pua200
Member
- Dec 24, 2018
- 80
- 44
Nipo kwa shoga angu Leo Christmas day. Namsaidia vijikazi, tukisubiri jioni tule Xmas Pamoja.... Leo Niliamka saa tatu asub nimejichokea Sana. Sina Raha Sana naona nahangaishwa na uchovu mwingi. Nilikunywa dompo juzi. Lakini siamin kuwa ni sababu...
Nilichezwa na mwanababa mmoja, lkn hajakukuruka saana kunichosha. So kuchoka huku sio sababu.....
Naendelea na dozi ya maji labda jioni nitakuwa sawa.
Nilishakunywaga Sana pombe ie bia kunako umri wa miaka 27 na leo 33 najistukiastukia Kama Kuna mwenye kujua dalili za kisukar kuchokachoka huku, na je nikaacha pombe na vitu vya sukar itakuwa naiondoa kabisa Kama inaninyemelea?