Naomba kujua dalili za kisukari maana nahangaika

jibu maswali ili tukupe ushauri ulio bora,maana kwa hizo dalili ulizotuambia ni dalili za mwanzo kabisa za HIV?
Hivi wewe unatoa ushaur au unatoa udenda mwanaume mkware wewe!?

Unataka kutiha tu.
 
Nenda kapate vipimo sahihi Hospitali achana Na Makanjanja wa humu

Humu JF Hata ukiuliza hatua Za kutengeneza BOmu la Nyuklia utawapata Washauri wanaojifanya Na wana uzoefu wa kutosha
Hahaa ...dahhh
 
Mna mbinu nyingi sana za kuweka matangazo yenu ya biashara hapa..

Ila hujaweka location.

Wenzako wanatuwekea na walipo kabisa.
 
Anatafuta....kwa kujiheshim na kujitunza atapata mtu, sasa wew tayari unatangaza kuwa jana umefanywa fanywa hukooo. Maneno yanaakisi tabia ya mtu...atakufata nan!?
Imbombo ingafu ... amewakaribisha mafisi wamfuate pm .. wakamfanye kisha wamkimbie halafu aje jf kutusumbua kwa kuanzisha thread kuwa wanaume wa jf hatufai
 
Utakuwa umeshika mimba.
Kacheki baada ya mwezi. Na hii mimba itakuwa na maudhi sana.
 
Imbombo ingafu ... amewakaribisha mafisi wamfuate pm .. wakamfanye kisha wamkimbie halafu aje jf kutusumbua kwa kuanzisha thread kuwa wanaume wa jf hatufai
Si kula mwanaume wa jf ni Kama unavyokiri. Hayo ni maoni yako tu
 
Nenda pembeni mwa nyumba then kojia hapo usiku na ulale halaf kesho asubuhi nenda kaangalie, ukikuta kuna sisimizi wengi sehemu hiyo jua tayari. Ama la ukiwa unakojoa kojolea kidole then lamba, ukikuta kuna sukarisukari jua tayari. Ama la nenda kapime
 
Kongole mkuu kwa shule mubashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…