Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu maswali ili tukupe ushauri ulio bora,maana kwa hizo dalili ulizotuambia ni dalili za mwanzo kabisa za HIV?He wewe mbaba mbona unaniandama?
ntatihaje mtu mgonjwa sasa?Hivi wewe unatoa ushaur au unatoa udenda mwanaume mkware wewe!?
Unataka kutiha tu.
Katiwa usiku wa jana ... daahh kuna watu hawana mshipa wa nomaumechezwa na mwanababa..ebu fafanua kidogo hapo mkuu.
Hahaa ...dahhhNenda kapate vipimo sahihi Hospitali achana Na Makanjanja wa humu
Humu JF Hata ukiuliza hatua Za kutengeneza BOmu la Nyuklia utawapata Washauri wanaojifanya Na wana uzoefu wa kutosha
Imbombo ingafu ... amewakaribisha mafisi wamfuate pm .. wakamfanye kisha wamkimbie halafu aje jf kutusumbua kwa kuanzisha thread kuwa wanaume wa jf hatufaiAnatafuta....kwa kujiheshim na kujitunza atapata mtu, sasa wew tayari unatangaza kuwa jana umefanywa fanywa hukooo. Maneno yanaakisi tabia ya mtu...atakufata nan!?
Umeona chief !!?Mna mbinu nyingi sana za kuweka matangazo yenu ya biashara hapa..
Ila hujaweka location.
Wenzako wanatuwekea na walipo kabisa.
Wengi wapo kwenye huo mkumbo ..ndio maana unaona wadau wanakwambia ulipie tangazo ..Si kula mwanaume wa jf ni Kama unavyokiri. Hayo ni maoni yako tu
Mwambie aje PM nimtombeshe vizuri uchovu wote byeWengi wapo kwenye huo mkumbo ..ndio maana unaona wadau wanakwambia ulipie tangazo ..
Habari za kuchezwa na mzee umezileta za nini hapa!??Si kula mwanaume wa jf ni Kama unavyokiri. Hayo ni maoni yako tu
Njoo nikutombeshe Dada wewe chuchu zinaita mamayooSi kula mwanaume wa jf ni Kama unavyokiri. Hayo ni maoni yako tu
Afu hakumcheza vizuri ati!!Habari za kuchezwa na mzee umezileta za nini hapa!??
Kongole mkuu kwa shule mubasharaNi vizuri kwenda hospitali kufanya kipimo cha damu kinachoitwa HbA1c. Hiki kipimo kitakupa wastani wa kiwango cha sukari kwenye damu yako kwa miezi mitatu iliopita. Matokeo yakiwa 5.6 na chini huko poa, 6 kwenda juu una kisukari. 5.7 - 5.9 ugonjwa wa kisukari uko njiani.
Uziru wake kama umepata kisukari ukubwani, yani Type 2 diabetes , unaweza kuutokomeza ugonjwa kwa mambo ya kawaida tu kama kufanya mazoezi au kuangalia vitu unavyokula na mda unao kula.
Kuna ugonjwa wa kisukari wa kuzaliwa nao, yani Type 1 diabetes, huu hautibiki bali utakuwa unatumia insulin na pia kuangalia kiwango chako cha sukari kila siku hili uweze kumudu kiwango cha sukari mwilini mwako.
Turudi kwenye swali lako, dalili za kisukari. Sasa sukari inaposhuka san mwilini ni hatari zaidi kuliko sukari inapokuwa juu.
Sukari inapokuwa chini mtu unajisikia uchovu, joto kali, kizunguzungu na inaweza kushuka mpaka unashindwa kuona na unatetemeka mpaka unapoteza fahamu na kufariki kama ujapata uduma ya kwanza kwa mda muafaka. Mara nyingi wagonjwa wa kisukari wanashauriwa kutembea jabo na pipi mfukoni, kwani sukari ikianza kushuka na unahisi hizi dalili, kama hamna chakula karibu utamumunya pipi hili sukari yako ipande juu kukupa mda wa kutafuta chakula haraka sana. Mtu mwenye tabia za sukari kushuka kabla ya kulala ni vizuri akapata mlo mdogo kama karanga za kusaga na mkate kwani ni vibaya mno sukari ikishuka sana wakati unaamka au umelala.
Sukari inapokuwa juu, unakuwa unakojoa mara kwa mara, na unasikia kiu sana, uchovu na kukosa kuona vizuri. Mara chache sana ufika juu mpaka upate dalili hizi kwani mara nyingi huwa kabla a kula wanaangalia kiwango cha sukari na kuchoma sindano ya insulin kutokana na matokeo ya kiwango cha sukari. Insulin inasaidia kushusha sukari chini na unapochoma sindano kabla ya kula itabalance kiwango cha sukari. Mara nyingi kama kiwango cha sukari ni chini ya 200 ml/dL basi huitaji kuchoma sindano kabla ya kula, lakini kama ni juu unaitaji kuchoma sindano hili ukila chakula sukari yako hisipande juu zaidi. Pia kuna vidonge vya kuweza kumudu sukari yako , kila mtu tofauti na ni daktari ndie anaweza kukusaidia kujua hipi inakufaa. Kuna insulin ambazo zinamudu sukari kwa mda mrefu, yani ukichoma inakaa mwilini mwako kwa mda mrefu na kuna ambayo ukichoma tu, lazima ule chakula au sukari yako itashuka sana (hii ndio nimezungumzia hapo ju unachoma kutokana na kiwangu chako cha sukari).
Sasa kwa nyumbani kwa vile maisha ni magumu na sio wote wanaweza kumudu gharama za kuangalia sukari kila siku, ni vizuri kwanza kufanya japo kipimo hili ukishajua ujaribu kumudu ugonjwa kwa njia ya chakula na mazoezi. Na ukiona mtu mwenye dalili za sukari kushuka sana basi mpe juisi au pipi kuokoa maisha yake kama anafahamu bado na kuweza kumeza. Usijaribu kumpa kitu chochote mdomoni kama hajitambui kwani unaweza kuleta matatizo zaidi, mpeleke kwenye hospitali ya karibu mara nyingi kuna sindano wanaweza kumchoma kufanya sukari yake ipande. Kutaka kujua kama mgonjwa wako ana uwezo wa kujitambua kidogo kabla kumpa kitu mdomoni muulize maswali madogo rahisi kama jina lake, jina la rais, au leo siku gani.