I Igangilonga Senior Member Joined Mar 11, 2006 Posts 133 Reaction score 27 Apr 11, 2021 #1 Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Apr 12, 2021 #2 Nenda hospital