mbalila
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 824
- 161
Naomba msaada kuna mchwa wamejenga chumbani ambayo inahatarisha uhai wa nyumba ni nyumba ya matofari ya kuchoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InapatikanajeKuna watu huwa wanatoa malkia wa mchwa pia Kuna dawa ya mti wa mvinje.
Sent using Jamii Forums mobile app
ingiza maji malkia akizidiwa anabust, anakufa habari inaishia hapoNaomba msaada kuna mchwa wamejenga chumbani ambayo inahatarisha uhai wa nyumba ni nyumba ya matofari ya kuchoma
Sent using Jamii Forums mobile app