Naomba kujua dawa ya kuuwa kichuguu (mchwa)

Naomba kujua dawa ya kuuwa kichuguu (mchwa)

Tafuta mtu akutolee malkia,zingatia malkia wanaweza kuwa zaidi ya mmoja, mchwa wanaweza kuwa na makazi tofauti ndani ya eneo moja dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom