Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
1,426
Reaction score
2,845
Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20240531_104558_Samsung Notes.jpg
    Screenshot_20240531_104558_Samsung Notes.jpg
    115.3 KB · Views: 29
Ungeweka na mahali ulipo iwe rahisi kusaidiwa
 
Mmegoma kabisaaa kuniambia ni wapi napata vitabu hivi nikanunulie Mwanangu
 
Nenda Mbeya ite uwanja wa sokoine, ila PCM ngumu sana , vitabu vyote , kwa vitabu vyote ivyo inaweza kukutoka Million point kadhaa,
Umesahau vitabu muhimu sana
Roger moncaster advance A level physics, maswali yote ya necta yapo humu, na kitabu kimoja Cha hesabu umesahau ila jina kimenitoka
 
Kuna bookshop kubwa nzuri Univ Dar....uliza contact wanaweza kukutumia....0658780015 Elite Bookshop.....ingia insta...au Piga number hizo....all the best
 
Nenda Mbeya ite uwanja wa sokoine, ila PCM ngumu sana , vitabu vyote , kwa vitabu vyote ivyo inaweza kukutoka Million point kadhaa,
Umesahau vitabu muhimu sana
Roger moncaster advance A level physics, maswali yote ya necta yapo humu, na kitabu kimoja Cha hesabu umesahau ila jina kimenitoka
Ahsante kwa mwanga huu
 
Back
Top Bottom