padri lazima uwe umefaulu form six ( uwe na D mbili )
badala ya kwenda chuo miaka mitatu upate degree,
kwenye upadrw utaenda seminari kuu takriban miaka 7 au zaidi ukifundishwa Teolojia, falsafa na mambo mengine ndipo utapata upadre,
uaskofu unakuja kwa kuteuliwa baada ya kuonekana uliyofanya katika upadre wako ( askofu ni padre, papa ni askofu --> papa ni padre )
hiyo ni kwa kanisa katoliki