Yes bishoo haswaaaaa🌚jiulize shabiki anapata faida gani
Mchezaji malipo yake ni mshahara na posho,hivyo viko guaranteed kwenye mkataba. Kuna motisha mbalimbali zinazoweza patikana kutokana na ushindi wa mechi au kombe. Kwa mchezaji akichukua ubingwa na tuzo ni CV nzuri na kumbukumbu ya vizazi hadi vizazi kupitia medali anayobaki nayo,huwa wanakuwa na trophy room au cabinet kwenye nyumba zao.Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.
Natanguliza shukrani
Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
ntafuta vumbi kila baada ya saaYes bishoo haswaaaaa🌚
ShukraniMchezaji malipo yake ni mshahara na posho,hivyo viko guaranteed kwenye mkataba. Kuna motisha mbalimbali zinazoweza patikana kutokana na ushindi wa mechi au kombe. Kwa mchezaji akichukua ubingwa na tuzo ni CV nzuri na kumbukumbu ya vizazi hadi vizazi kupitia medali anayobaki nayo,huwa wanakuwa na trophy room au cabinet kwenye nyumba zao.
Yeye ni mfanyakazi kama mwalimu au daktari. Analipwa mshahara, je unataka apewe nini timu ikishinda. Nadhani ni hiari ya mwajiri kuamua awape nini.Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.
Natanguliza shukrani
Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
Huyu hana hata D moja.Mtoa post Hakisha una D mbili