Naomba kujua faida za mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda

Kuna bonus za mkataba kwamba team ikishinda makombe anaongezewa posho.

Lakini vile vile ni sifa na kumbukumbu nzuri kuwa bingwa.

Sio umecheza umezeeka na hujawahi kuwa bingwa
 
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.

Natanguliza shukrani

Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
Mchezaji malipo yake ni mshahara na posho,hivyo viko guaranteed kwenye mkataba. Kuna motisha mbalimbali zinazoweza patikana kutokana na ushindi wa mechi au kombe. Kwa mchezaji akichukua ubingwa na tuzo ni CV nzuri na kumbukumbu ya vizazi hadi vizazi kupitia medali anayobaki nayo,huwa wanakuwa na trophy room au cabinet kwenye nyumba zao.
 
Kombe lolote lina pesa..... Sasa katika ile pesa ya mshindi wa fainali huwa kila mchezaji anapewa kiasi cha pesa na Timu yake, hii hufanywa kama motisha ili waendelee kubeba makombe mengi zaidi.
 
Mchezaji malipo yake ni mshahara na posho,hivyo viko guaranteed kwenye mkataba. Kuna motisha mbalimbali zinazoweza patikana kutokana na ushindi wa mechi au kombe. Kwa mchezaji akichukua ubingwa na tuzo ni CV nzuri na kumbukumbu ya vizazi hadi vizazi kupitia medali anayobaki nayo,huwa wanakuwa na trophy room au cabinet kwenye nyumba zao.
Shukrani
 
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.

Natanguliza shukrani

Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
Yeye ni mfanyakazi kama mwalimu au daktari. Analipwa mshahara, je unataka apewe nini timu ikishinda. Nadhani ni hiari ya mwajiri kuamua awape nini.
 
Back
Top Bottom